PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO MISHENI
|
Ujenzi wa kisima cha kubatizia
Ujenzi unaendelea chini ya usimamizi wa mafundi mahiri toka ndani ya kanisa
Ujenzi wa mimbari katika kanisa la Misheni
Muonekano wa kanisa la waadventista wa Sabato Misheni kwa sasa (2017).
Kwaya ya kanisa la waadventista wa sabato Misheni ikitoa huduma
Viongozi wa TUCASA waliohusika katika uendeshaji wa mahubiri ya hadhara katika uwanja wa magereza-Misheni Sengerema kwa ushirikiano na kanisa la waadventista wasabato Misheni
Kwaya ya vijana wa TUCASA toka chuo cha Mipango-Mwanza wakitoa huduma takatifu ya uimbaji katika mahubiri ya viwanja vya Magereza-Misheni.
Mchungaji mstaafu Pr. Jackson Mazemle (kushoto) wakiwa pamoja na shemasi mkuu wa kiume kwa mwaka 2017 ndugu Japhary Magaso wakiendesha huduma takatifu ya ubatizo mnamo tarehe 04/03/2017 kanisani Misheni.
Mzee wa Kanisa kiongozi ndugu Boazi Lumbe akishuhudia huduma ya Ubatizo pamoja na kundi kubwa la washiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato-Misheni
Mmoja kati ya wazee watatu wa kanisa kwa kanisa la waadventista wa sabato Misheni (Mzee Daudi Selemani) akuchukua nukuu mbalimbali za matukio katika mahubiri ya uwanja wa Magereza.
Washiriki wapya wakipokelewa na viongozi mbalimbali wa kanisa siku ya sabato ya tarehe 05/03/2017
Mchungaji Suleman Nuhu akiongoza huduma takatifu ya ubatizo katika kisima cha kanisa la waadventista wa sabato Misheni wakiwa pamoja na shemasi mkuu wa kike mama Mary Zabron.
Tarajari wa ubatizo wakila kiapo kabla ya kuingia katika tukio takatifu la ubatizo.
Mkuu wa huduma wa kanisa la waadventista wasabato Misheni kwa mwaka 2017 (Mzee Gidion Bwimbo) akitoa matangazo katika effort ya uwanja wa magereza
Washiriki mbalimbali wa ndani na nje ya Kanisa wakidumu kubarikiwa na mahubiri katika uwanja wa Magereza.
Kamati ya maombi ya Kanisa la Misheni wakiwa katika picha ya pamoja katika mahubiri ya uwanja wa Magereza
Washiriki wa kanisa la Misheni wakifurahia mbaraka wa mahubiri katika viwanja vya Magereza (Kushoto ni ndugu Kwilasa akiwa pamoja na ndugu Justinian)
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni